Skip to main content

Posts

Featured

KUANDAA HOTSPOT KWENY PC

Leo ntaelekeza njia ya kuifanya PC yako iweze kugawa internet kwa vifaa vingine, mfano simu(smartphone). Kuna software ambazo zinawezesha PC yako kugawa hotspot lakini Mimi ntaelekeza njia hii bila kutumia software. HATUA ZA KUFUATA Fungua notepad kwenye PC yako Andika " netsh wlan set hostednetwork mode=allow ssid=goodluck key=goodluck netsh wlan start hostednetwork"   ondoa (") vyote wakati unaandika Kisha utasave file lako kwa kutumia .bat kwa mfano (goodluck.bat) Kisha tafuta file lako ulipo save then utalifungua as administrator  Hapo utakuwa umemaliza, unachotakiwa kufanya ni kuchukua kifaa kingine kama simu na utaikuta hyo network kisha utaonganisha Note;ni lazima kusave file lako kwa kutumia (.bat) vinginevyo haitakubali #kama ujaelewa au kuna tatizo dondosha comment yako ntaipitia

Latest posts

JINSI YA KUONGEZA ANDROID VERSION

πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯JINSI YA KUONGEZA FOLLOWER INSTAGRAM πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

JINSI YA KUONGEZA LIKE FB&INSTA

No power or computer does not turn on

No display or black screen on a computer monitor

How to fix the Windows blue screen errors

How to fix missing or lost sound in Windows