KUANDAA HOTSPOT KWENY PC

Leo ntaelekeza njia ya kuifanya PC yako iweze kugawa internet kwa vifaa vingine, mfano simu(smartphone).

Kuna software ambazo zinawezesha PC yako kugawa hotspot lakini Mimi ntaelekeza njia hii bila kutumia software.

HATUA ZA KUFUATA

  • Fungua notepad kwenye PC yako
  • Andika "netsh wlan set hostednetwork mode=allow ssid=goodluck key=goodluck netsh wlan start hostednetwork"   ondoa (") vyote wakati unaandika
  • Kisha utasave file lako kwa kutumia .bat kwa mfano (goodluck.bat)
  • Kisha tafuta file lako ulipo save then utalifungua as administrator 
  • Hapo utakuwa umemaliza, unachotakiwa kufanya ni kuchukua kifaa kingine kama simu na utaikuta hyo network kisha utaonganisha
Note;ni lazima kusave file lako kwa kutumia (.bat) vinginevyo haitakubali

#kama ujaelewa au kuna tatizo dondosha comment yako ntaipitia

Comments