JINSI YA KUONGEZA LIKE FB&INSTA
NJIA ZA KUONGEZA LIKE ZA FACEBOOK NA INSTAGRAM
- Nenda kwenye setting ya account yako weka kila kitu public.
- Pakua app inaitwa #social liker
- Install app kweny simu yako
- Ifungue iyo app
- Login kweny account yako
- Utaona vitu vilivyomo kweny account yako, kama picha nk.
- Utaanza kuweka like unazotaka
🔥🔥🔥jinsi ya kuongeza followers kwenye insta!!! Soon ntaiweka🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Comments
Post a Comment